Nenda kwa yaliyomo

Corine Rottschäfer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Corine Spier-Rottschäfer (Mei 8, 1938Septemba 24, 2020) alikuwa mwanamitindo na mrembo wa Uholanzi aliyeshinda shindano la Miss World mwaka 1959, akiwakilisha Uholanzi. Alikuwa mwanamke wa kwanza kutoka nchi yake kushinda taji hilo. Shindano lilifanyika London, Uingereza.[1][2]

  1. "Miss Holland 1957 | Miss Holland Now |" (kwa Kiholanzi). Iliwekwa mnamo 2020-12-11.
  2. "Miss World 1959 – Corine Rottschafer – Netherlands". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 Machi 2010. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2010.{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link). missworld.com
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Corine Rottschäfer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.