Copiapó

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mji wa Copiapó
Copiapó
Majiranukta: 27°21′59″S 70°19′59″W / 27.36639°S 70.33306°W / -27.36639; -70.33306
Nchi Chile
Mkoa Atacama
Wilaya Copiapó
Idadi ya wakazi
 - 129,091
Tovuti: www.copiapo.cl/
Escudo de Copiapó.svg

Copiapó ni jina la mji mkuu wa mkoa wa Atacama katika Chile. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2002, mji una wakazi wapatao 130,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 391 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Chile.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Chile bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Copiapó kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.