Nenda kwa yaliyomo

Conrad wa Urach

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Conrad wa Urach (miaka ya 1170 - 29 Septemba 1227, huenda mjini Bari) alikuwa mtawa na abati wa Wasitoo, ambaye pia alihudumu kama Kardinali Askofu wa Porto na Santa Rufina.

Alikuwa mtu mwenye ushawishi mkubwa katika Kanisa Katoliki, lakini alikataa nafasi ya kuwa Papa.[1]

  1. suggested dates of birth range from 1170-72 to 1180
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.