Nenda kwa yaliyomo

Comfort Ekpo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Comfort Memfin Ekpo (alizaliwa 12 Novemba 1954, Mjini Uyo) alikuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Uyo nchini Nigeria.

Comfort Wazazi wake walikuwa ni Etim Udoh Isok na Nyong Sam Akpan. Comfort alianza safari yake ya kazi kuanzia ngazi ya chini kama mwalimu wa Shule ya Jumapili na baadaye akahudumu kama Msaidizi wa Kufundisha katika Chuo Kikuu cha Cross River kuanzia mwaka 1983 hadi 1991. [1]

  1. "Professor (Mrs) Comfort Memfin Ekpo BLS, Ed. M.Ed. Ph.D." Universal Learning Solutions (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-26. Iliwekwa mnamo 2020-05-02.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Comfort Ekpo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.