Nenda kwa yaliyomo

Comer Vann Woodward

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Comer Vann Woodward (13 Novemba 190817 Desemba 1999) alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1982, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake Mary Chesnut's Civil War, mkusanyiko wa barua zilizoandikwa wakati wa Vita Kuu ya Marekani 1860-65.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Comer Vann Woodward kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.