Columba Schonath
Mandhari
Maria Columba Schonath (11 Desemba 1730 – 3 Machi 1787) alikuwa mjumbe wa Ujerumani wa Shirika la Wahubiri, mtaalamu wa kiroho anayesemekana mwenye madonda matakatifu.
Alikuwa sehemu ya monasteri ya Heilig Grab huko Bamberg.
Mchakato wa kumtangaza mwenye heri ulifunguliwa mnamo 1999.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "1787". Hagiography Circle.
- ↑ "Gottselige Maria Columba Schonath, stigmatisierte Jungfrau aus dem Dominikanerorden, + 3.3.1787 - Gedenktag: 3. März". heiligen-legende.de.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |