Colin Breed
Mandhari
Colin Edward Breed (4 Mei 1947 – 9 Mei 2024) alikuwa mwanasiasa wa chama cha Liberal Democrat nchini Uingereza. Alikuwa Mbunge wa jimbo la South East Cornwall kuanzia 1997 katika uchaguzi mkuu wa mwaka 1997 hadi alipojiondoa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2010]]. Pia alikuwa mwanachama wa timu ya Hazina ya chama hicho bungeni.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Politics web". Iliwekwa mnamo 24 Novemba 2016.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Colin Breed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |