Naupa-Tecutépetl

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Cofre de Perote)
kilele cha Cofre de Perote

Naupa-Tecutépetl (au Cofre de Perote) ni mlima wa Meksiko katika Amerika ya Kaskazini. Ni volikano zimwe.

Una kimo cha mita 4,282 juu ya UB.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Naupa-Tecutépetl kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.