Coexʼae Qgam
Mandhari
Coexʼae (wakati mwingine Coinxʼae au Xwexae) Qgam, ambaye alifanya kazi kwa jina la Dada (wakati mwingine likiandikwa Dada Coexʼae Qgam; 1934 – 2008), alikuwa msanii, msimulizi wa hadithi na mtafsiri kutoka Botswana. Akiwa mwanafamilia wa jamii ya Wasani, alikuwa mwanachama wa Wancoakhoe wanaozungumza lugha ya Kinaro.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Stanley, Janet L. "Monographs on African Artists". Iliwekwa mnamo 31 Agosti 2018.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Dada". www.africaserver.nl. Iliwekwa mnamo 31 Agosti 2018.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "The Trickster Suite". 16 Machi 2017. Iliwekwa mnamo 31 Agosti 2018.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Coexʼae Qgam kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |