Clyde Beatty
Mandhari
Clyde Raymond Beatty (10 Juni 1903 – 19 Julai 1965) alikuwa mkufunzi wa wanyama, mmiliki wa mbuga za wanyama (zoo owner), na mjasiriamali mkubwa wa sarakasi kutoka Marekani.
Alijiunga na Howe's Great London Circus mwaka 1921 kama mfanyakazi mdogo wa vizimba vya wanyama (cage boy), na kwa kipindi cha miaka 40 iliyofuata alipanda ngazi na kuwa mmoja wa wasanii na wakufunzi wa wanyama maarufu zaidi duniani katika historia ya sarakasi. Kupitia kazi yake, huyu msimamizi wa sarakasi (circus impresario) alimiliki sarakasi kadhaa, ikiwemo Clyde Beatty Circus ambayo aliendesha kati ya mwaka 1945 hadi 1956.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ ["Circus Ohio" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 24) Mei 2020.
{{cite web}}: Check|url=value (help); Check date values in:|access-date=(help)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Clyde Beatty kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |