Clint Hill
Mandhari
Clinton J. Hill (Januari 4, 1932 – Februari 21, 2025) alikuwa afisa wa United States Secret Service aliyewahudumia maraisi watano wa Marekani, kuanzia Dwight D. Eisenhower hadi Gerald Ford. Hill anajulikana zaidi kwa tendo lake la ujasiri mnamo Novemba 22, 1963, wakati Rais John F. Kennedy alipoasasiwa huko Dallas, Texas. [1][2][3][4]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]{{reflist}}
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Clint Hill kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ "– Hun var i sjokk og sa «Jeg har hjernen hans i hendene» – TV 2 Nyhetene". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-11-12. Iliwekwa mnamo 2013-11-09.
- ↑ Ogden, Eloise (Septemba 25, 2012). "A witness to history: Former Secret Service agent talks about N.D. & Jacqueline Kennedy". Minot Daily News. Minot, North Dakota. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Januari 28, 2013. Iliwekwa mnamo Septemba 26, 2012.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Hill, Clint (2016). Five Presidents. Gallery Books. ku. 8–9. ISBN 9781476794143.
- ↑ 'Mrs. Kennedy': A relationship of respect, protection, love Archived 2012-06-24 at the Wayback Machine. USA Today, April 2, 2012. Retrieved April 19, 2013.