Climate Crisis Advisory Group

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Climate Crisis Advisory Group (CCAG)ni kikundi cha kujitegemea cha wanasayansi ambao wanashauri juu ya mabadiliko ya tabia ya nchi na bioanuwai[1], kinachoongozwa na Sir David King[2][3].

Kikundi hichi kina dhaminiwa na kituo cha Centre for Climate Repair.[4]

Malengo yake ni kutoa ulimwengu kwa ujumla uchambuzi wa jitihada za kutatua ongezeko la joto duniani na matatizo ya bioanuwai[5].

CCAG walitoa tamko na report yao ya kwanza nakusema kwamba dunia imeshapita mambo kadhaa kuashiria hatari, ikiwemo kuyeyuka kwa barafu, kupungua kwa mzunguko wa mawimbi ya Atlantiki na kufa kwa mgongo wa msitu wa Amazon, ambacho ni kiashirio cha uhitaji wa haraka.[6]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. World-leading scientists launch international climate crisis advisory group (en). The Independent (2021-06-22). Iliwekwa mnamo 2022-05-07.
  2. Head of Independent Sage to launch international climate change group (en). the Guardian (2021-06-20). Iliwekwa mnamo 2022-05-07.
  3. Nowhere is safe, say scientists as extreme heat causes chaos in US and Canada (en). the Guardian (2021-07-01). Iliwekwa mnamo 2022-05-07.
  4. FAQs (en-GB). Climate Crisis Advisory Group. Iliwekwa mnamo 2022-05-07.
  5. Head of Independent Sage to launch international climate change group (en). the Guardian (2021-06-20). Iliwekwa mnamo 2022-05-07.
  6. Head of Independent Sage to launch international climate change group (en). the Guardian (2021-06-20). Iliwekwa mnamo 2022-05-07.