Clay Mathile
Mandhari
Clayton Lee Mathile (Januari 11, 1941 – Agosti 26, 2023) alikuwa mfanyabiashara bilionea nchini Marekani alijulikana zaidi kwa kuongoza Iams kufikia karibu dola bilioni 1 kwa mauzo kabla ya kuiuza kwa Procter & Gamble (P&G)[1] kwa dola bilioni 2.3 mwaka 1999 katika muamala uliokuwa wa fedha taslimu tu (cash-only) mkubwa zaidi katika historia ya P&G wakati huo.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Canedy, Dana (Agosti 12, 1999). "Procter & Gamble is buying maker of premium pet food". The New York Times.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Clay Mathile kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |