Claudius Labib
Mandhari
| Claudius Iohannes Labib | |
|---|---|
| | |
| Alizaliwa | 6 Januari 1868 |
| Alikufa | 9 Mei 1918 |
| Nchi | Misri |
Claudius Iohannes Labib (6 Januari 1868 – 9 Mei 1918) alikuwa mtaalamu wa mambo ya kale ya Misri wa asili ya Kikopti.Labib familia yake ilijulikana kwa kazi ya kunakili vitabu vya kanisa pia Labib likuwa akisafiri na baba yake kwenda katika monasteri ya el-Muharraq ili kujifunza Kikopti pamoja na watawa.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "الأقباط متحدون - إقلاديوس لبيب.. عالم اللغة القبطية وعميد الأدب القبطي". www.copts-united.com. Iliwekwa mnamo 2024-07-10.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Claudius Labib kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |