Claire Ptak
Mandhari
Claire Ptak ni mwokaji (baker), mwandishi wa vyakula (food writer), na mtunzi wa mwonekano wa chakula (food stylist) kutoka Marekani.[1]
Anajulikana pia kwa kazi yake ya kuoka mikate London, na alijipatia umaarufu baada ya kuchaguliwa kutengeneza keki ya harusi ya Prince Harry na Meghan Markle.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Menta, Anna (2018-03-20). ["Meet) Claire Ptak, the London baker making Prince Harry and Meghan Markle's wedding cake". Newsweek (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-07-19.
{{cite news}}: Check|url=value (help)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Claire Ptak kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |