Clémentine Faïk-Nzuji
Mandhari
Clémentine Faïk-Nzuji Madiya (amezaliwa kama Clémentine Nzuji; Tshofa, Wilaya ya Kabinda katika Kongo ya Kibelgiji, 21 Januari 1944) ni mshairi na mwandishi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Mtaalamu wa fasihi Albert S. Gérard alimwelezea kama “mshairi wa kwanza mwenye umuhimu wa kweli” miongoni mwa kundi la waandishi wa Kiafrika waliibuka mwishoni mwa miaka ya 1960. Pia alitambuliwa kama mwandishi mwanamke wa kwanza katika Kongo ya Kibelgiji.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ University of West Australia bio Archived 7 Oktoba 2006 at the Wayback Machine.
- ↑ Gérard, Albert S. (1986), European-language Writing in Sub-Saharan Africa, Comparative history of literatures in European languages, juz. la 6, John Benjamins Publishing Company, uk. 546, ISBN 978-963-05-3832-9.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Clémentine Faïk-Nzuji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |