Ciudad del Carmen, Campeche

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano wa Mji wa Ciudad del Carmen, Campeche



Ciudad del Carmen
Nchi Mexiko
Jimbo Campeche
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 178,452
Tovuti:  www.carmen.gob.mx

Ciudad del Carmen (Kiswahili: mji wa Karmen) ndiyo mji mkubwa katika jimbo la Campeche nchini Mexiko. Upande wa magharibi ni maji wa Ghuba ya Meksiko. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 178,452 wanaoishi katika mji huu.

Mji ulianzishwa na Wahispania mwaka 1717.



Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ciudad del Carmen, Campeche kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.