Nenda kwa yaliyomo

Ciudad Nezahualcóyotl

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya mji, Ciudad Nezahualcóyotl


Jiji la Ciudad Nezahualcóyotl
Nchi Mexiko
Jimbo Mexico
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,136,300
Tovuti:  www.neza.gob.mx

Ciudad Nezahualcóyotl (pia: Nêzahaulkoiächktl au Ciudad Neza) ndiyo mji mkubwa wa pili jimboni la Mexico. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 1,136,300 wanaoishi katika mji huu.

Eneo lake ni 63.44 km².

Mji upo m 2,440 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Jina lilichaguliwa kwa heshima ya mfalme Nezahualcóyotl.

Mji ulianishwa mwaka 1963.


Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ciudad Nezahualcóyotl kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.