Ciudad Juárez, Chihuahua
Mandhari
(Elekezwa kutoka Ciudad Juárez)
Jiji la Ciudad Juárez | |
Nchi | Mexiko |
---|---|
Jimbo | Chihuahua |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,400,891 |
Tovuti: www.juarez.gob.mx |
Ciudad Juárez (pia:Juárez) ni mji mkubwa katika jimbo la Chihuahua. Mji uko kusini ya mto Rio Grande. Mwaka 2005 ilikuwa na wakazi 1,400,891 mjini, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji (pia: El Paso, Texas) lina wakazi milioni 2.5.
Mji ulinazishwa na Wahispania mwaka 1659.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ciudad Juárez, Chihuahua kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |