Mndimu Mtamu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Citrus limetta)
Mndimu Mtamu
(Citrus × limetta)
Mndimu mtamu
Mndimu mtamu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Sapindales (Mimea kama mmoyomoyo)
Familia: Rutaceae (Mimea iliyo na mnasaba na Ruta)
Jenasi: Citrus
Spishi: C. × limetta
(Christm.) Swingle

Mndimu mtamu (Citrus × limetta) ni mti wa jamii ya mchungwa unaozaa ndimu tamu.

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mndimu Mtamu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.