Chuo Kikuu cha McGill

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chuo Kikuu Cha McGillt

Chuo Kikuu cha McGill ni chuo kikuu mjini Montreal, Kanada. Kilianzishwa mwaka wa 1821, na kupata jina lake kutoka kwa James McGill, mfanyabiashara hodari wa mji wa Montreal.

Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha McGill kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.