Nenda kwa yaliyomo

Chudaree Debhakam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chudaree "Chef Tam" Debhakam (amezaliwa takriban mwaka 1993) ni mpishi kutoka Thailand na Bangkok. Mwaka 2024 alikua mpishi mwanamke wa kwanza wa Kithai kutunukiwa nyota mbili za Michelin. Mwaka 2025 alitangazwa kuwa Mpishi Bora Mwanamke wa Asia.

Akiwa mtoto, Chudaree Debhakam alikuwa na ndoto ya kuwa mwanariadha wa kulipwa. Baada ya kugundua kuwa hangeweza kufanikiwa katika michezo ya ushindani wa kitaalamu, alielekeza juhudi zake katika sanaa ya upishi.[1]

  1. ↑ [(https://web.archive.org/web/20250430081411/https://www.theworlds50best.com/stories/News/chef-tam-chudaree-debhakam-best-female-chef-asias-50-best-restaurants-2025.html) "Chef 'Tam' Chudaree Debhakam on coping with pressure, creating change and the beauty of humble ingredients"]. 50B - STORIES (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka [(https://www.theworlds50best.com/stories/News/chef-tam-chudaree-debhakam-best-female-chef-asias-50-best-restaurants-2025.html) chanzo] mnamo 2025-04-30. Iliwekwa mnamo 2025-05-26. {{cite web}}: Check |archive-url= value (help); Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chudaree Debhakam kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.