Nenda kwa yaliyomo

Christopher Ndizeye Nkoronko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Christopher Ndizeye Nkoronko (alizaliwa 25 Machi 1970) ni askofu wa Kanisa Katoliki la Tanzania, ambaye ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Kahama, Tanzania. Aliteuliwa kuwa askofu wa Kahama tarehe 23 Juni 2022 na Papa Fransisko.[1]

  1. David M. Cheney (4 Agosti 2024). "MicroData Summary for Bishop Christopher Ndizeye Nkoronko (born 25 March 1970), Bishop of Kahama". Catholic-Hierarchy.org. Kansas City. Iliwekwa mnamo 14 Januari 2025.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.