Nenda kwa yaliyomo

Christopher Joseph Weldon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Christopher Joseph Weldon (6 Septemba 190519 Machi 1982) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Marekani. Alihudumu kama askofu wa Jimbo la Springfield, Massachusetts, kuanzia mwaka 1950 hadi 1977.

Mnamo mwaka 2020, uchunguzi uliofanywa na jimbo hilo ulibaini kuwa shtaka la unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya mtoto lililoelekezwa kwa Weldon lilikuwa na ushahidi thabiti.[1]

  1. Barry, Stephanie (2023-04-12). "Judge says Springfield diocese attorney possibly 'reckless' responding to sexual abuse allegations against late bishop". masslive (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-12-24.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.