Christopher Budd (askofu)
Mandhari
Hugh Christopher Budd (27 Mei 1937 - 1 Aprili 2023) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki la Uingereza ambaye alihudumu kama Askofu wa nane wa Plymouth.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Hugh Christopher Budd". Roman Catholic Diocese of Plymouth. Iliwekwa mnamo 2009-06-20.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |