Christophe Diedhiou
Mandhari
Christophe Diedhiou (alizaliwa 8 Januari, 1988) ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu kutoka Senegal anayekipiga katika nafasi ya beki wa kati kwa klabu ya Ufaransa ya Championnat National 3 ya US Lusitanos Saint-Maur. Aliichezea timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Senegal mechi moja mwaka 2014.[1]
Maisha binafsi
[hariri | hariri chanzo]Diedhiou alizaliwa katika Mbao, Senegal. Ana uraia wa Senegal na Ufaransa.[2]
Kazi ya klabu
[hariri | hariri chanzo]Mnamo 27 Juni, 2022, Diedhiou aliweka saini kujiunga na klabu ya Ligue 2 ya US Quevilly-Rouen Métropole.
Kazi ya kimataifa
[hariri | hariri chanzo]Diedhiou alifanya debut yake ya kimataifa ya wakubwa kwa Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Senegal kama mchezaji wa akiba kipindi cha pili katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu ya Colombia tarehe 31 Mei, 2014.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Christophe Diedhiou purterà i culori aiaccini ! (in French)". www.gfca-foot.com. 16 Julai 2016. Iliwekwa mnamo 24 Julai 2016.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Christophe Diedhiou". Ligue2 (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 21 Julai 2023.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Colombia 2 - 2 Senegal - Match Report & Highlights". skysports.com. 31 Mei 2014. Iliwekwa mnamo 25 Februari 2019.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Christophe Diedhiou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |