Nenda kwa yaliyomo

Cristoforo Borri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Christoforo Borri)

Cristoforo Borri (anajulikana kama Christopher Borrus katika vyanzo vya kale vya Kiingereza; 1583, Milano – 24 Mei 1632, Roma) alikuwa mmisionari wa Shirika la Yesu nchini Vietnam, mwanamaji, na mtaalamu wa nyota.[1]

  1. Silk for Silver: Dutch-Vietnamese Relations, 1637-1700 – Page 252 Anh Tuấn Hoàng – 2007 "The Italian priest Christopher Borri, who lived in Hội An between 1618 and 1622, recorded this incident: ..."
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.