Christine Bongo
Mandhari
Christine Bongo Lumengu (anajulikana kama Christine Bongo; amezaliwa Kinshasa, 24 Julai 1988) ni mchezaji wa soka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Anacheza kama kiungo.
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Kazi ya klabu
[hariri | hariri chanzo]Christine Bongo anachezea La Colombe Brazzaville nchini Kongo-Brazza na kwa Jeshi la Nchi Kavu nchini Kongo-Kinshasa [1].
Kazi ya kimataifa
[hariri | hariri chanzo]Bongo alichaguliwa katika kitengo cha wakubwa cha timu ya taifa ya wanawake ya jamuhuri Kidemokrasia ya kongo wakati wa Mashindano ya Afrika ya Wanawake ya 2006.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "RFI - 5e CAN féminine: la sélection congolaise". Iliwekwa mnamo 2021-10-09.
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Christine Bongo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |