Nenda kwa yaliyomo

Christina Tosi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Christina Tosi (amezaliwa 1981) ni Mmarekani mpishi na mwandishi wa vitabu vya mapishi. Yeye ni mwanzilishi na mmiliki mwenza, pamoja na Momofuku, wa kampuni ya Milk Bar, ambapo pia anahudumu kama mpishi mkuu na afisa mkuu mtendaji.

Tosi pia alibuni bidhaa maarufu za vitindamlo zinazojulikana kama Milk Bar Pie na Cereal Milk. Jarida la Food & Wine lilimtaja katika orodha yake ya mwaka 2014 ya “Wanawake Wenye Ubunifu Mkubwa Zaidi katika Chakula na Vinywaji”.[1]

  1. ↑ [(https://fortune.com/2014/09/03/the-most-innovative-women-in-food-and-drink/) "The Most Innovative Women in Food and Drink"]. Fortune (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-11-23. {{cite web}}: Check |url= value (help)[dead link]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christina Tosi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.