Nenda kwa yaliyomo

Christina Murray

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Christina Murray (alizaliwa 8 Oktoba 1989) ni mchezaji wa kimataifa wa mpira wa miguu kutoka Jamaika anayechipukia katika nafasi ya kiungo.

Elimu yake ilianza katika Shule ya Msingi ya Dunrobin na Shule ya Sekondari ya Excelsior, zote zipo Kingston, Jamaica, na aliikamilisha katika Chuo Kikuu cha West Florida, ambako alipata shahada ya Usimamizi wa Michezo (Sports Management).[1]

  1. Lezama, Melissa (2015-07-13). "One on one with Fuego and Jamaica star Christina Murray". Wired868 (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-11-20.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christina Murray kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.