Christian Kabasele
Mandhari
Christian Kabasele (aliyezaliwa 24 Februari 1991) ni mchezaji wa soka wa kulipwa anayocheza katika nafasi ya beki wa kati katika klabu ya Udinese, inayoshiriki Ligi Kuu ya Italia.
Alizaliwa nchini Zaire (sasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo). Kabasele aliwahi kuichezea Timu ya Taifa ya Ubelgiji, na aliwakilisha taifa hilo katika Mashindano ya UEFA Euro 2016.
Kazi ya Klabu
[hariri | hariri chanzo]K.A.S. Eupen
[hariri | hariri chanzo]Kabasele alianza maisha yake ya soka akiwa na umri wa miaka saba katika klabu ya RFC Chaudfontaine.
Baadaye, akiwa na umri wa miaka 13, alijiunga na Eupen, ambapo alibadilishiwa nafasi kutoka kuwa mshambuliaji na kuanza kucheza kama beki.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.udinese.it/Apps/WebObjects/Udinese.woa/wa/viewPlayer?id=56715&lang=eng
- ↑ https://static.rbfa.be/project/publiek/jrinteren/speler_PH_5754.htm#itop
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Christian Kabasele kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |