Nenda kwa yaliyomo

Christian Bassogog

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Christian Mougang Bassogog (alizaliwa 18 Oktoba 1995) ni mchezaji wa soka kutoka Kamerun anayecheza nafasi ya winga wa kulia au mshambuliaji.

Hivi sasa, anacheza katika klabu ya Al-Okhdood, inayoshiriki Saudi Pro League, na pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya Kamerun.[1]

  1. "Nyheder – seneste nyt fra Nordjylland". Nordjyske.dk (kwa Kidenmaki). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 4 Februari 2017. Iliwekwa mnamo 6 Aprili 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christian Bassogog kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.