Nenda kwa yaliyomo

Christian Afrikaner

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hendrina Afrikaner (1952 – 19 Agosti 2011) alikuwa kiongozi wa kimila wa Namibia na Captain wa Orlam Afrikaners.

Yeye alikuwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi hiyo ya uongozi wa Orlam Afrikaners.[1]

  1. ↑ "BIOGRAPHIES OF NAMIBIAN PERSONALITIESin alphabetical order". klausdierks.com. Iliwekwa mnamo 2026-05-21.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christian Afrikaner kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.