Chris Garia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Garia kwenye Mashindano ya Uropa ya 2018
Garia kwenye Mashindano ya Uropa ya 2018

Christopher George Paul Garia (alizaliwa 16 Desemba 1992) ni mkimbiaji wa Uholanzi na mchezaji Besiboli kutoka Curaçao.[1] Garia alishinda mita 60 kwenye Mashindano ya Ndani ya Taifa ya Uholanzi kwa muda wa sekunde 6.70. Pia alikuwa mwanachama wa timu ya taifa ya Uholanzi kabla ya kumaliza mabadiliko yake kuwa mkimbiaji.[2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Chris Garia next player from Curacao to play with Saltdogs - MOSAE SPORTS". web.archive.org. 2017-02-25. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-02-25. Iliwekwa mnamo 2021-10-16. 
  2. "Chris Garia getransformeerd van honkbal-international naar veelbelovende sprinter". Rijnmond (kwa Kiholanzi). Iliwekwa mnamo 2021-10-16. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chris Garia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.