Chris Attoh
Mandhari
Chris Attoh ( Christopher Keith Nii Attoh; alizaliwa 17 Mei 1979) ni mwigizaji wa Ghana, mwongozaji wa filamu, mtangazaji wa televisheni, na mtayarishaji. Anajulikana zaidi kama "Kwame Mensah" katika tamthilia ya Nigeria ya Tinsel. [1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Adeola Adeyemo (18 Februari 2012). "BN Saturday Celebrity Interview: 'The HOTTEST Nice Guy You'll Ever Meet!' – Ghanaian TV & Movie Star Chris Attoh of 'Tinsel' reveals ALL exclusively to BN". Bella Naija. Iliwekwa mnamo 18 Agosti 2014.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "EXCLUSIVE INTERVIEW: "Love is the one thing we will never comprehend…" CHRIS ATTOH- Ghanaian Actor, TV Host & M-NET's Tinsel TV Series Star". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 Agosti 2014. Iliwekwa mnamo 18 Agosti 2014.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Women Paint their Dreams on me – Chris Attoh". punchng.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 19 Agosti 2014. Iliwekwa mnamo 18 Agosti 2014.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)