Chow mein
Mandhari

Chow mein ni chakula cha asili ya China kinachotengenezwa kwa tambi zinazokaangwa pamoja na mboga, na wakati mwingine huongezwa nyama au tofu.
Kwa muda mrefu, aina mbalimbali za chow mein ziliibuka katika maeneo tofauti ya China. Kila eneo lina mtindo wake wa kuandaa chakula hiki, ikiwemo namna ya kukaanga tambi na aina za viambato vinavyoongeza chakula hiki katika nchi nyingine duniani. Leo, chow mein ni maarufu katika jamii nyingi za Wachina wanaoishi nje ya China na hupatikana katika migahawa mingi ya Kichina duniani. Pia ni chakula kinachopendwa nchini India, Nepal, Uingereza na Marekani[1][2].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2026-04-10. Iliwekwa mnamo 2026-07-25.
- ↑ https://books.google.co.tz/books?id=wiIw2_WFwC4C&q=chow+mein+nepali&pg=PA65&redir_esc=y
| Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chow mein kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |