Nenda kwa yaliyomo

Choi Mong-lyong

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Choi Mong-lyong (alizaliwa 1946) ni mwanaakiolojia na profesa katika Idara ya Akiolojia na Historia ya Sanaa katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Seoul (SNU) nchini Korea Kusini.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Choi Mong-lyong kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.