Nenda kwa yaliyomo

Chinaza Agoh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chinaza Favour Agoh (alizaliwa tarehe 27 Novemba 2004) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa wanawake wa kitaaluma kutoka nchini Nigeria anayekipiga katika nafasi ya mshambuliaji.

Anaichezea klabu ya ZED FC inayoshiriki katika Ligi Kuu ya Wanawake ya Misri.[1]

  1. "Delta Queens Edge Edo Queens To Claim 2022 Sheroes Cup". bsnsports.com.ng. 12 Novemba 2022. Iliwekwa mnamo 28 Machi 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chinaza Agoh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.