Chikondi Chabvuta
Mandhari
| Chikondi Chabvuta | |
|---|---|
| Watoto | 3 (Three) children |
Chikondi Chabvuta ni mtetezi wa haki ya hali ya hewa na haki za wanawake kutoka Malawi [1] Yeye ni mshiriki wa Wanawake wa Kiafrika katika Utafiti na Maendeleo ya Kilimo (AWARD) na Mshauri wa Utetezi wa Kusini mwa Afrika katika shirika la CARE International. [2]
Maisha ya Awali na Elimu
[hariri | hariri chanzo]Chabvuta alizaliwa na kukulia nchini Malawi, alipata shahada yake ya kwanza ya Sayansi ya Mazingira katika chuo kikuu cha Malawi, alipata pia shahada yake ya pili katika masuala hayo hayo ya Sayansi ya Mazingira katika chuo hicho hicho. Alikuwa ni sehemu ya viongozi vijana wa kiafrika yaani (Young African Leaders Initiative (YALI)). Pia alipewa Tuzo kama mwanamke wa kiafrika katika maendeleo ya uongozi kutoka kwa (Moremi Initiative Leadership Empowerment and Development (MILEAD))
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Vetter, David. "Fair COP? The African Women Showing Why Gender Justice Equals Climate Justice". Forbes (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-10-28.
- ↑ "Chikondi Chabvuta: Climate Change enthusiast" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2025-09-12.