Nenda kwa yaliyomo

Chidimma Adetshina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chidimma Vanessa Onwe Adetshina (alizaliwa 8 Januari 2001) ni mshiriki wa mashindano ya urembo kutoka nchini Nigeria aliyeshinda taji la Miss Universe Nigeria 2024.

Aliiwakilisha Nigeria katika shindano la Miss Universe mnamo mwaka 2024 lililofanyika Mexico na alimaliza nafasi ya mshindi wa pili wa kwanza.

Pia alitunukiwa taji la Miss Universe Africa and Oceania kama mshiriki wa Kiafrika aliyepata nafasi ya juu zaidi mwaka 2024. Nafasi aliyopata ni ya juu zaidi kuwahi kufikiwa na Nigeria katika historia ya mashindano ya Miss Universe.[1]

  1. Alumona, Kingsley (13 Septemba 2024). "Politics, Intrigue behind Chidimma Adetshina's Emergence as Miss Universe Nigeria". Tribune Online. Iliwekwa mnamo 18 Novemba 2024.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chidimma Adetshina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.