Chickie Williams
Mandhari
Jessie Wanda Williams anayejulikana kwa jina la kisanii Chickie Williams, (Alizaliwa Februari 13, 1919 – Alifariki Novemba 18, 2007) alikuwa mwanamuziki wa country kutoka West Virginia, Marekani, ambaye anajulikana zaidi kwa kutumbuiza katika kipindi cha redio cha Wheeling Jamboree kilichokuwa kinarushwa kwenye WVVA pamoja na mumewe Doc Williams na bendi yao ya Border Riders.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Goodnite, Abby Gail (Novemba 5, 2014). "Doc Williams". e-WV. West Virginia Humanities Council. Iliwekwa mnamo 2 Novemba 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Compston-Strough, Jennifer (Novemba 21, 2007). "Jamboree Legend Chickie Williams Dies at 88". The Intelligencer / Wheeling News-Register. Iliwekwa mnamo 2 Novemba 2015.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Biography". Doc and Chickie Williams Official Website. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-01-05. Iliwekwa mnamo 2 Novemba 2015.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chickie Williams kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |