Cheryl Carolus
Mandhari
Cheryl Carolus (alizaliwa Silvertown, katika Cape Flats, Cape Town, 27 Mei 1958[1]) ni mwanasiasa, mwanadiplomasia na mwanaharakati kutoka Afrika Kusini.
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Baba yake alikuwa msaidizi wa uchapishaji na mama yake alikuwa muuguzi.[2][3] Carolus alijihusisha na siasa akiwa bado shuleni na akawa mwanaharakati kupitia Chama cha Wanafunzi Weusi wa Afrika Kusini (South African Black Students Association). Alikamatwa na kuzuiliwa kwa miezi mitano mwaka 1976 kutokana na harakati zake za kupinga ubaguzi wa rangi.
Carolus alisomea katika Chuo Kikuu cha Western Cape (UWC).[4] Baada ya kuhitimu, alikua mwalimu wa masomo ya Kiingereza na Historia katika Cape Flats.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Gastrow, Shelagh (1995). Who's who in South African Politics (kwa Kiingereza). Ravan Press. ku. 27–29. ISBN 978-0-86975-458-0.
- ↑ "Cheryl Carolus". South African History Online (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 16 Januari 2025. Iliwekwa mnamo 2025-08-09.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Accent on Women (kwa Kiingereza). Juz. la 2. South African Communication Service. 1994. uk. 41.
- ↑ Forster, Forster Laurel (2020-09-21). Women's Periodicals and Print Culture in Britain, 1940s-2000s: The Postwar and Contemporary Period (kwa Kiingereza). Edinburgh University Press. ISBN 978-1-4744-7000-1.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cheryl Carolus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |