Nenda kwa yaliyomo

Cherish Finden

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Cherish Finden (amezaliwa 20 Desemba 1967) ni mpishi wa vitindamlo (pastry chef) aliyezaliwa Singapuri.

Alizaliwa nchini Singapuri na baadaye akapata mafunzo ya kuwa mpishi wa vitamu. Baada ya kuhamia Uingereza, alifanya kazi kama mpishi mkuu katika hoteli na migahawa mbalimbali na alishinda tuzo nyingi kutokana na ujuzi wake.

Tangu mwaka 2016, amekuwa mmoja wa majaji katika kipindi cha televisheni cha Bake Off: The Professionals.

Maisha na kazi

[hariri | hariri chanzo]

Maisha ya awali na taaluma ya upishi

[hariri | hariri chanzo]

Finden alizaliwa tarehe 20 Desemba 1967 huko Singapuri.[1]

  1. [(https://cacao-barry.com/en-GB/chocolate-recipe/blog/cherish-finden-interview) "Cherish Finden, the executive pastry chef at The Langham Hotel London"]. Cacao Barry. [(https://web.archive.org/web/20230203055047/https://www.cacao-barry.com/en-GB/chocolate-recipe/blog/cherish-finden-interview) Ilihifadhiwa kwenye nyaraka] kutoka chanzo mnamo 3 Februari 2023. Iliwekwa mnamo 20 Agosti 2023. {{cite web}}: Check |archive-url= value (help); Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cherish Finden kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.