Cherif Guellal
Mandhari
| Cherif Guellal | |
Guellal mnamo 1970 | |
| Amezaliwa | 19 Agosti 1932 Constantine, Algeria |
|---|---|
| Amekufa | 7 Aprili 2009 |
| Nchi | Algeria |
| Kazi yake | Mwanadiplomasia |
Cherif Guellal (19 Agosti 1932 - 7 Aprili 2009) [1] alikuwa mfanyabiashara na mwanadiplomasia wa Algeria, ambaye alipigania uhuru wa Algeria. Aliwahi kuwa Balozi wa Algeria nchini Marekani na Balozi wa Algeria nchini Kanada.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Cherif Guellal kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ Bernstein, Adam (Aprili 13, 2009). "Cherif Guellal dies at 76; Algerian resistance fighter and diplomat". Los Angeles Times. Iliwekwa mnamo Aprili 13, 2009.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)