Nenda kwa yaliyomo

Cher (mwimbaji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Cher

Cher (kisheria anatumia jina hilo moja tu; alizaliwa kama Cheryl Sarkisian; El Centro, California, 20 Mei 1946)[1] ni mwimbaji na mwigizaji wa Marekani.[2] Alibatizwa jina la kisanii kama "Goddess of Pop" (Mungu wa Kike wa Muziki wa pop), na anajulikana sana kwa sauti yake ya aina ya contralto yenye mguso wa kiume na kike (androgynous), mitindo yake ya mavazi ya, maonyesho yake ya jukwaAni yenye madoido mengi, na tasnia yake ya kazi yenye sura nyingi.[3][4]

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Baba yake, John Sarkisian, ambaye alikuwa dereva wa lori mwenye asili ya Armenia na Marekani aliyekuwa na matatizo ya uraibu wa dawa za kulevya na kamari, hakuwepo mara kwa mara katika maisha yake ya utotoni.[5][6]

  1. ↑ https://archive.org/details/cherberm00berm
  2. ↑ https://www.wmagazine.com/story/cher-joins-kim-and-kourtney-kardashian-on-red-carpet
  3. ↑
  4. ↑ https://www.allmusic.com/artist/cher-mn0000107090#biography
  5. ↑
  6. ↑ https://www.billboard.com/pro/rewinding-the-charts-fifty-years-ago-sonny-cher-got-to-no-1/
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cher (mwimbaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.