Chen Ning Yang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Chen Ning Yang

Chen Ning Yang (amezaliwa 22 Septemba 1922) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya China; baadaye alihamia Marekani. Pia alijiita Frank Yang. Hasa alichunguza vipande vya atomu na nadharia yake. Mwaka wa 1957, pamoja na Tsung-Dao Lee alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chen Ning Yang kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.