Chen Kuan-hsing
Mandhari
Chen Kuan-Hsing ni mwanazuoni wa Taiwan anayefanya kazi katika nyanja ya tafiti za kitamaduni za ndani ya Asia akiwa ni mmoja wa wahariri wakuu wa jarida la Inter-Asia Cultural Studies.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "陳光興 | Kuan-Hsing CHEN". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-07-26. Iliwekwa mnamo 2026-02-23.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chen Kuan-hsing kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |