Nenda kwa yaliyomo

Chembeuzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muundo wa chembeuzi ya seli ya eukaryota.

Chembeuzi (au kromosomu kutoka neno la Kiingereza "chromosome" linatokana na Kigiriki χρῶμα, chroma, "rangi" na σῶμα, soma, "mwili") ni nyuzi zinaobeba ADN ambazo zinapatikana katika seli zote za viumbe hai na kuongoza utengenezaji wake.

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chembeuzi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.