Chelule Liza
Mandhari
Chelule Chepkorir Liza ni mwanasiasa wa Kenya ambaye kwa sasa ni Mwakilishi wa Wanawake wa Kaunti ya Nakuru katika Bunge la Kitaifa.
Kati ya mwaka 2013 na 2017, alikuwa mjumbe wa Seneti ya Kenya, na alichaguliwa kuwa Mwakilishi wa Wanawake wa Nakuru katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2017. Anatarajiwa kuchaguliwa tena mwaka 2022.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Hon. Liza, Chelule Chepkorir". Kenyan parliament. Iliwekwa mnamo 2020-09-16.
| Makala hii kuhusu mwanasiasa huyo wa Kenya bado ni mbegu. Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |