Chelchel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Chelchel ni kijiji kipatikanacho katika Bonde la Ufa], Kaunti ya Narok, nchini Kenya.

Kina msitu na maji yanayoporomoka juu mpaka chini. Iko karibu na Masai Mara, katika wodi ya Angata Barrakoi.

Wanyama kama tumbili, nyani, nyoka, ndege wa aina nyingi, ndovu hupatikana kwani hifadhi ya Taifa ya Mara iko jirani.